Mathayo 2:22
Mathayo 2:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Yosefu aliposikia kwamba Arkelao, mwanawe Herode, alikuwa mfalme wa Yudea mahali pa baba yake, aliogopa kwenda huko. Naye, baada ya kuonywa katika ndoto, alikwenda pande za Galilaya
Shirikisha
Soma Mathayo 2Mathayo 2:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini aliposikia ya kwamba Arkelao anatawala huko Yudea mahali pa Herode babaye, aliogopa kwenda huko; naye akiisha kuonywa katika ndoto, akaenda pande za Galilaya
Shirikisha
Soma Mathayo 2