Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 18:6

Mathayo 18:6 NEN

Lakini kama mtu yeyote akimsababisha mmojawapo wa hawa wadogo wanaoniamini kutenda dhambi, ingekuwa bora kwake afungiwe jiwe kubwa la kusagia shingoni mwake, na kutoswa katika kilindi cha bahari.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 18:6