Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 8:40-42

Luka 8:40-42 NEN

Basi Yesu aliporudi, umati mkubwa wa watu ukampokea kwa furaha, kwani walikuwa wakimngojea. Kisha mtu mmoja, jina lake Yairo, aliyekuwa kiongozi wa sinagogi, akaja na kuanguka miguuni mwa Yesu, akimwomba afike nyumbani kwake, kwa kuwa binti yake wa pekee, mwenye umri wa miaka kumi na miwili, alikuwa anakufa. Yesu alipokuwa akienda, umati wa watu ukamsonga sana.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 8:40-42