Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 22:42-43

Luka 22:42-43 NEN

akisema, “Baba, kama ni mapenzi yako, niondolee kikombe hiki. Lakini si kama nipendavyo, bali mapenzi yako yatendeke.” Malaika kutoka mbinguni akamtokea, akamtia nguvu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 22:42-43