Luka 22:42-43
Luka 22:42-43 Biblia Habari Njema (BHN)
“Baba, kama wapenda, ukiondoe kwangu kikombe hiki; hata hivyo, mapenzi yako yatimizwe, wala siyo yangu.” Hapo, malaika kutoka mbinguni akamtokea ili kumtia moyo.
Shirikisha
Soma Luka 22Luka 22:42-43 Swahili Revised Union Version (SRUV)
akisema, Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; lakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke. [ Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu.
Shirikisha
Soma Luka 22Luka 22:42-43 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
akisema, Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke. [ Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu.
Shirikisha
Soma Luka 22