Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 2:33-35

Luka 2:33-35 NEN

Naye Yosefu na mama yake mtoto wakastaajabu kwa yale yaliyokuwa yamesemwa kumhusu huyo mtoto. Kisha Simeoni akawabariki, akamwambia Maria mama yake, “Mtoto huyu amewekwa kwa makusudi ya kuanguka na kuinuka kwa wengi katika Israeli. Atakuwa ishara ambayo watu watanena dhidi yake, ili mawazo ya mioyo mingi yadhihirike. Nao upanga utauchoma moyo wako.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 2:33-35