Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 15:23-24

Luka 15:23-24 NEN

Leteni ndama aliyenona, mkamchinje ili tuwe na karamu, tule na kufurahi. Kwa maana huyu mwanangu alikuwa amekufa na sasa yu hai tena; alikuwa amepotea na sasa amepatikana!’ Nao wakaanza kufanya tafrija.