Luka 15:23-24
Luka 15:23-24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mleteni ndama yule aliyenona mkamchinje; nasi tule na kufurahi; kwa kuwa huyu mwanangu alikuwa amekufa, naye amefufuka; alikuwa amepotea, naye ameonekana. Wakaanza kushangilia.
Shirikisha
Soma Luka 15Luka 15:23-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Mchinjeni ndama mnono; tule na kusherehekea! Kwa sababu huyu mwanangu; alikuwa amekufa, kumbe yu hai; alikuwa amepotea, lakini sasa amepatikana.’ Wakaanza kufanya sherehe.
Shirikisha
Soma Luka 15