Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 1:28-31

Luka 1:28-31 NEN

Naye malaika akaja kwake akamwambia: “Salamu, wewe uliyebarikiwa, Bwana yu pamoja nawe!” Maria akafadhaishwa sana na maneno haya, akajiuliza moyoni, “Salamu hii ni ya namna gani?” Ndipo malaika akamwambia, “Usiogope, Maria, umepata kibali kwa Mungu. Tazama, utachukua mimba, nawe utamzaa mtoto mwanaume na utamwita jina lake Yesu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 1:28-31