Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yuda 1:1-2

Yuda 1:1-2 NEN

Yuda, mtumwa wa Yesu Kristo na nduguye Yakobo: Kwa wale walioitwa, wapendwa katika Mungu Baba na kuhifadhiwa salama ndani ya Yesu Kristo: Rehema, amani na upendo viwe kwenu kwa wingi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yuda 1:1-2