Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yoshua 1:11

Yoshua 1:11 NENO

“Pitieni katika kambi yote mkawaambie watu, ‘Tayarisheni vyakula vyenu. Siku tatu kuanzia sasa mtavuka Yordani ili kuingia na kuimiliki nchi ambayo Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anawapa iwe yenu.’ ”