Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayubu 11:16-17

Ayubu 11:16-17 NEN

Hakika utaisahau taabu yako, utaikumbuka tu kama maji yaliyokwisha kupita. Maisha yako yatangʼaa kuliko adhuhuri, nalo giza litakuwa kama alfajiri.