Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 8:4-5

Yohana 8:4-5 NENO

Wakamwambia Isa, “Mwalimu, huyu mwanamke amekutwa akizini. Katika sheria, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake wa namna hii, hadi wafe. Sasa wewe wasemaje?”