Yohane 8:4-5
Yohane 8:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha wakamwuliza Yesu, “Mwalimu! Mwanamke huyu alifumaniwa katika uzinzi. Katika sheria yetu Mose alituamuru mwanamke kama huyu apigwe mawe. Basi, wewe wasemaje?”
Shirikisha
Soma Yohane 8Yohane 8:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakamwambia, Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini. Basi katika torati, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake kama hawa; nawe wasemaje?
Shirikisha
Soma Yohane 8