Yohana 3:34-35
Yohana 3:34-35 NEN
Yeye aliyetumwa na Mungu husema maneno ya Mungu, kwa kuwa Mungu humtoa Roho pasipo kipimo. Baba anampenda Mwana, naye ametia vitu vyote mikononi mwake.