Yohane 3:34-35
Yohane 3:34-35 Biblia Habari Njema (BHN)
Yule aliyetumwa na Mungu husema maneno ya Mungu, maana Mungu humjalia mtu huyo Roho wake bila kipimo. Baba anampenda Mwana na amemkabidhi vitu vyote.
Shirikisha
Soma Yohane 3Yohane 3:34-35 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa yeye aliyetumwa na Mungu huyanena maneno ya Mungu; kwa sababu hamtoi Roho kwa kipimo. Baba ampenda Mwana, naye amempa vyote mkononi mwake.
Shirikisha
Soma Yohane 3Yohane 3:34-35 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa kuwa yeye aliyetumwa na Mungu huyanena maneno ya Mungu; kwa sababu hamtoi Roho kwa kipimo. Baba ampenda Mwana, naye amempa vyote mkononi mwake.
Shirikisha
Soma Yohane 3