Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 15:9-11

Yohana 15:9-11 NEN

“Kama vile Baba alivyonipenda mimi, hivyo ndivyo mimi nilivyowapenda ninyi. Basi kaeni katika pendo langu. Mkizishika amri zangu mtakaa katika pendo langu, kama mimi nilivyozishika amri za Baba yangu na kukaa katika pendo lake. Nimewaambia mambo haya ili furaha yangu iwe ndani yenu na furaha yenu iwe kamili.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 15:9-11