Yeremia 39:17-18
Yeremia 39:17-18 NEN
Lakini siku hiyo nitakuokoa, asema BWANA; hutatiwa mikononi mwa wale unaowaogopa. Nitakuokoa; hutaanguka kwa upanga, lakini maisha yako yatakuwa salama, kwa sababu unanitumaini, asema BWANA.’ ”