Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 19:14-15

Yeremia 19:14-15 NEN

Kisha Yeremia akarudi kutoka Tofethi, mahali ambapo BWANA alikuwa amemtuma kutoa unabii, akasimama katika ua wa Hekalu la BWANA na kuwaambia watu wote, “Hili ndilo BWANA Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: ‘Sikilizeni! Nitaleta juu ya mji huu pamoja na vijiji vinavyouzunguka kila maafa niliyosema dhidi yake, kwa sababu wamekuwa na shingo ngumu, na hawakuyasikiliza maneno yangu.’ ”