Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 1:14-16

Yakobo 1:14-16 NEN

Lakini kila mtu hujaribiwa wakati anapovutwa na kudanganywa na tamaa zake mwenyewe zilizo mbaya. Basi ile tamaa mbaya ikishachukua mimba, huzaa dhambi, nayo ile dhambi ikikomaa, huzaa mauti. Ndugu zangu wapendwa, msidanganyike.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yakobo 1:14-16