Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yak 1:14-16

Yak 1:14-16 SUV

Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa. Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti. Ndugu zangu wapenzi, msidanganyike.

Soma Yak 1

Verse Image for Yak 1:14-16

Yak 1:14-16 - Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa. Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti. Ndugu zangu wapenzi, msidanganyike.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yak 1:14-16