Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 46:8-9

Isaya 46:8-9 NEN

“Kumbukeni hili, litieni akilini, liwekeni moyoni, enyi waasi. Kumbukeni mambo yaliyopita, yale ya zamani za kale; mimi ndimi Mungu, wala hakuna mwingine; mimi ndimi Mungu, wala hakuna mwingine aliye kama mimi.