Isaya 46:8-9
Isaya 46:8-9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kumbukeni haya, mkajionyeshe kuwa waume; jifahamisheni haya, ninyi mkosao; kumbukeni mambo ya zamani za kale; maana mimi ni Mungu, wala hapana mwingine; mimi ni Mungu, wala hapana aliye kama mimi
Shirikisha
Soma Isaya 46Isaya 46:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kumbukeni jambo hili na kutafakari, liwazeni akilini mwenu enyi wakosefu. Kumbukeni mambo niliyotenda hapo kale! Mimi ndimi Mungu na hakuna mwingine; naam, mimi ni Mungu, wala hakuna mwingine kama mimi.
Shirikisha
Soma Isaya 46