Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 40:28-29

Isaya 40:28-29 NEN

Je wewe, hufahamu? Je wewe, hujasikia? BWANA ni Mungu wa milele, Muumba wa miisho ya dunia. Hatachoka wala kulegea, wala hakuna hata mmoja awezaye kuupima ufahamu wake. Huwapa nguvu waliolegea na huongeza nguvu za wadhaifu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 40:28-29