Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 10:26-27

Waebrania 10:26-27 NEN

Kama tukiendelea kutenda dhambi kwa makusudi baada ya kupokea ufahamu wa ile kweli, haibaki tena dhabihu kwa ajili ya dhambi. Lakini kinachobaki ni kungoja kwa hofu hukumu ya moto uwakao, utakaowaangamiza adui za Mungu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waebrania 10:26-27