Waebrania 10:23-24
Waebrania 10:23-24 NEN
Tushike kwa uthabiti lile tumaini la ukiri wetu bila kuyumbayumba, kwa maana yeye aliyeahidi ni mwaminifu. Tuangaliane na kuhimizana sisi kwa sisi katika upendo na katika kutenda mema.