Waebrania 10:23-24
Waebrania 10:23-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Tuzingatie kabisa tumaini letu tunalokiri, maana Mungu aliyefanya ahadi zake ni mwaminifu. Tujitahidi kushughulikiana kwa ajili ya kuongezeana bidii ya kupendana na kutenda mema.
Shirikisha
Soma Waebrania 10Waebrania 10:23-24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na mlishike sana ungamo la tumaini letu, lisigeuke; maana yeye aliyeahidi ni mwaminifu; tukaangaliane sisi kwa sisi na kuhimizana katika upendo na kazi nzuri
Shirikisha
Soma Waebrania 10Waebrania 10:23-24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na mlishike sana ungamo la tumaini letu, lisigeuke; maana yeye aliyeahidi ni mwaminifu; tukaangaliane sisi kwa sisi na kuhimizana katika upendo na kazi nzuri
Shirikisha
Soma Waebrania 10