Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hagai 2:20-23

Hagai 2:20-23 NEN

Neno la BWANA likamjia Hagai kwa mara ya pili katika siku ya ishirini na nne ya mwezi kusema: “Mwambie Zerubabeli mtawala wa Yuda kwamba nitazitikisa mbingu na nchi. Nitapindua viti vya enzi vya falme, na kuziharibu kabisa nguvu za falme za kigeni. Nitapindua magari ya vita pamoja na waendeshaji wake; farasi na wapanda farasi wataanguka, kila mmoja kwa upanga wa ndugu yake. “ ‘Katika siku ile,’ asema BWANA Mwenye Nguvu Zote, ‘nitakuchukua wewe, mtumishi wangu Zerubabeli mwana wa Shealtieli,’ asema BWANA. ‘Nitakufanya kama pete yangu ya muhuri, kwa kuwa nimekuchagua,’ asema BWANA Mwenye Nguvu Zote.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hagai 2:20-23