Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 50:19-21

Mwanzo 50:19-21 NEN

Lakini Yosefu akawaambia, “Msiogope. Je, mimi ni badala ya Mungu? Mlikusudia kunidhuru, lakini Mungu alikusudia mema, ili litimie hili linalofanyika sasa, kuokoa maisha ya watu wengi. Hivyo basi, msiogope. Mimi nitawatunza ninyi nyote pamoja na watoto wenu.” Akawahakikishia na kusema nao kwa wema.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 50:19-21