Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 50:19-21

Mwanzo 50:19-21 BHN

Lakini Yosefu akawaambia, “Msiogope, je, mimi ni badala ya Mungu? Nyinyi mlitaka kunitendea vibaya, lakini Mungu alikusudia mema ili watu wengi wapate kuwa hai kama mwonavyo leo. Haya, msiogope. Mimi nitawapeni chakula pamoja na watoto wenu.” Basi akawafariji na kusema nao vizuri.

Soma Mwanzo 50

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 50:19-21