Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 12:7

Mwanzo 12:7 NEN

BWANA akamtokea Abramu, akamwambia, “Nitawapa uzao wako nchi hii.” Hivyo hapa akamjengea madhabahu BWANA aliyekuwa amemtokea.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 12:7

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha