Mwanzo 12:7
Mwanzo 12:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndipo Mwenyezi-Mungu akamtokea Abramu, akamwambia, “Wazawa wako nitawapa nchi hii.” Basi, Abramu akajenga madhabahu kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu aliyemtokea.
Shirikisha
Soma Mwanzo 12Mwanzo 12:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamtokea Abramu, akasema, Uzao wako nitawapa nchi hii. Naye akamjengea BWANA madhabahu huko alikomtokea.
Shirikisha
Soma Mwanzo 12