Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 11:6-7

Mwanzo 11:6-7 NEN

BWANA akasema, “Ikiwa kama taifa moja wanaozungumza lugha moja wameanza kufanya hili, basi hakuna lolote watakalopanga kufanya ambalo halitawezekana kwao. Njooni, tushuke tuvuruge lugha yao ili wasielewane wao kwa wao.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 11:6-7

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha