Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 40:33-34

Kutoka 40:33-34 NEN

Kisha Mose akafanya ua kuizunguka Maskani ya Mungu na madhabahu, pia akaweka pazia kwenye ingilio la huo ua. Hivyo Mose akaikamilisha kazi. BWANA Ndipo wingu likafunika Hema la Kukutania, na utukufu wa BWANA ukaijaza Maskani ya Mungu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 40:33-34