Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 3:2

Kutoka 3:2 NEN

Huko malaika wa BWANA akamtokea Mose katika mwali wa moto kutoka kichakani. Mose akaona kwamba ingawa kile kichaka kilikuwa kinawaka moto, kilikuwa hakiteketei.