Kutoka 3:2
Kutoka 3:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, malaika wa Mwenyezi-Mungu akamtokea katika mwali wa moto katikati ya kichaka. Mose akaangalia, akashangaa kuona kichaka kinawaka moto na wala hakiungui.
Shirikisha
Soma Kutoka 3Kutoka 3:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Malaika wa BWANA akamtokea, katika mwali wa moto uliotoka katikati ya kichaka; akatazama, na kumbe! Kile kichaka kiliwaka moto, nacho kichaka hakikuteketea.
Shirikisha
Soma Kutoka 3