Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 20:17

Kutoka 20:17 NEN

Usiitamani nyumba ya jirani yako. Usimtamani mke wa jirani yako, wala mtumishi wake wa kiume au wa kike, wala ngʼombe wake au punda wake, wala chochote kile alicho nacho jirani yako.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 20:17