Kutoka 20:17
Kutoka 20:17 Biblia Habari Njema (BHN)
“Usiitamani nyumba ya jirani yako, wala mke wake, wala mtumwa wake wa kiume au wa kike, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala chochote kilicho mali ya jirani yako.”
Shirikisha
Soma Kutoka 20Kutoka 20:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala chochote alicho nacho jirani yako.
Shirikisha
Soma Kutoka 20