Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 2:7-8

Kutoka 2:7-8 NENO

Ndipo dada wa huyo mtoto akamuuliza binti Farao, “Je, niende nikakutafutie mmoja wa wanawake wa Waebrania akulelee huyu mtoto?” Binti Farao akamjibu, “Ndiyo, nenda.” Yule msichana akaenda akamleta mama wa mtoto.

Video ya Kutoka 2:7-8