Kutoka 2:7-8
Kutoka 2:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Papo hapo dada yake yule mtoto akajitokeza, akamwambia binti Farao, “Je, niende nikakutafutie yaya miongoni mwa wanawake wa Kiebrania akulelee mtoto huyu?” Binti Farao akamwambia, “Naam; nenda.” Basi, huyo msichana akaenda, akamwita mama yake huyo mtoto.
Shirikisha
Soma Kutoka 2Kutoka 2:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi dada yake mtoto akamwambia binti Farao, Je! Niende nikamwite mlezi katika wanawake wa Kiebrania, aje kwako, akunyonyeshee mtoto huyu? Binti Farao akamwambia, Haya! Nenda. Yule kijana akaenda akamwita mama yake yule mtoto.
Shirikisha
Soma Kutoka 2Kutoka 2:7-8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi umbu lake mtoto akamwambia binti Farao, Je! Niende nikamwite mlezi katika wanawake wa Kiebrania, aje kwako, akunyonyeshee mtoto huyu? Binti Farao akamwambia, Haya! Enenda. Yule kijana akaenda akamwita mama yake yule mtoto.
Shirikisha
Soma Kutoka 2