Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 3:14-16

Waefeso 3:14-16 NEN

Kwa sababu hii nampigia Baba magoti, ambaye ubaba wote wa kila jamaa za mbinguni na za duniani unatokana naye. Namwomba Mungu awaimarishe kwa kuwatia nguvu mioyo yenu kwa njia ya Roho wake kwa kadiri ya utajiri wa utukufu wake

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waefeso 3:14-16