Waefeso 3:14-16
Waefeso 3:14-16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa hiyo nampigia Baba magoti, ambaye kwa jina lake ubaba wote wa mbinguni na wa duniani unaitwa, awajalieni, kwa kadiri ya utajiri wa utukufu wake, kufanywa imara kwa nguvu, kwa kazi ya Roho wake katika utu wa ndani.
Shirikisha
Soma Waefeso 3Waefeso 3:14-16 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa sababu hiyo, nampigia magoti Baba, aliye asili ya jamaa zote duniani na mbinguni. Namwomba Mungu, kadiri ya utajiri wa utukufu wake, awajalieni kwa uwezo wa Roho wake, nguvu ya kuwa imara ndani yenu
Shirikisha
Soma Waefeso 3