Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mhubiri 7:8-9

Mhubiri 7:8-9 NEN

Mwisho wa jambo ni bora kuliko mwanzo wake, uvumilivu ni bora kuliko kiburi. Usiwe mwepesi kukasirika rohoni mwako, kwa kuwa hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu.