Mhubiri 7:8-9
Mhubiri 7:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwisho wa jambo ni afadhali kuliko mwanzo wake; mvumilivu rohoni ni bora kuliko mwenye majivuno. Usiwe mwepesi wa hasira, maana, hasira hukaa ndani ya wapumbavu.
Shirikisha
Soma Mhubiri 7Mhubiri 7:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake, Na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi. Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu.
Shirikisha
Soma Mhubiri 7Mhubiri 7:8-9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake, Na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi. Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu.
Shirikisha
Soma Mhubiri 7