Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu 33:29

Kumbukumbu 33:29 NEN

Ee Israeli, wewe umebarikiwa! Ni nani kama wewe, taifa lililookolewa na BWANA? Yeye ni ngao yako na msaada wako, na upanga wako uliotukuka. Adui zako watatetemeka mbele yako, nawe utapakanyaga mahali pao pa juu.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kumbukumbu 33:29