Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wakolosai 3:9-10

Wakolosai 3:9-10 NEN

Msiambiane uongo, kwa maana mmevua kabisa utu wenu wa kale pamoja na matendo yake, nanyi mmevaa utu mpya, unaofanywa upya katika ufahamu sawasawa na mfano wa Muumba wake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wakolosai 3:9-10