Wakolosai 3:9-10
Wakolosai 3:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Msiambiane uongo, kwani nyinyi mmekwisha vua ule utu wa kale pamoja na matendo yake yote, mkavaa utu mpya. Huu unaendelea kurekebishwa na Mungu, Muumba wake, kadiri ya mfano wake, ili mpate kumjua Mungu kwa ukamilifu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3Wakolosai 3:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Msiambiane uongo, kwa kuwa mmevua kabisa utu wa kale, pamoja na matendo yake; mkivaa utu mpya, unaofanywa upya katika ufahamu kulingana na mfano wake yeye aliyeuumba.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3