Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Amosi 9:13

Amosi 9:13 NEN

“Siku zinakuja,” asema BWANA, “wakati mvunaji atatanguliwa na mkulima, naye mpanzi atatanguliwa na yeye akamuaye zabibu. Divai mpya itadondoka kutoka milimani, na kutiririka kutoka vilima vyote.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Amosi 9:13