Amosi 9:13
Amosi 9:13 Biblia Habari Njema (BHN)
“Wakati waja kwa hakika, ambapo mara baada ya kulima mavuno yatakuwa tayari kuvunwa; mara baada ya kupanda mizabibu utafuata wakati wa kuvuna zabibu. Milima itabubujika divai mpya, navyo vilima vitatiririka divai.
Shirikisha
Soma Amosi 9Amosi 9:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Angalieni, siku zinakuja, asema BWANA, ambazo huyo alimaye atamfikia avunaye, na yeye akanyagaye zabibu atamfikia apandaye mbegu; nayo milima itadondoza divai tamu, na vilima vyote vitayeyuka.
Shirikisha
Soma Amosi 9