Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Amosi 5:23-24

Amosi 5:23-24 NEN

Niondoleeni kelele za nyimbo zenu! Sitasikiliza sauti za vinubi vyenu. Lakini acheni haki itiririke kama mto, na uadilifu uwe kama kijito kisichokauka!